Mambo ambayo Lupita Nyong'o amejifunza kwa paka wake kipenzi

Mshindi huyo wa tuzo ya Oscar 2014 alisema kwamba paka wake mpya ambaye atakuwa rafiki wake wa karibu kipindi cha upweke anaitwa Yoyo.