Tazama ziara zingine za kifalme nchini Kenya kabla ya Mfalme Charles III na Malkia Camilla

Mfalme Charles III na mke wake, Malkia Camilla wako nchini Kenya kwa ziara ya kikazi ya siku 4.

Muhtasari

•Katika siku za nyuma, marehemu Malkia Elizabeth II wa alifanya ziara nchini Kenya katika miaka ya 1983, 1991, 1952.

•Mfalme Charles III ambaye kwa sasa yuko nchini hapo awali alifanya ziara  ya Kenya kama Mkuu wa Wales mnamo 1983, 1978.

za awali za familia ya Kifalme nchini Kenya.
Ziara za awali za familia ya Kifalme nchini Kenya.
Image: WILLIAM WANYOIKE