Orodha ya wabunge vijana wachapa kazi zaidi nchini Kenya

Utafiti mpya wa Infotrak unaonyesha kuwa mbunge Ndindi Nyoro anaongoza kwa orodha ya wabunge wachapa kazi nchini Kenya.

Muhtasari

•Ndindi Nyoro, Peter Salasya, Naisula Lesuuda na Babu Owino ni miongoni mwa wabunge vijana waliotajwa kuwa wachapa kazi.

wachapa kazi zaidi Kenya
Wabunge vijana wachapa kazi zaidi Kenya
Image: HILLARY BETT