Muhtasari
• Zaidi ya watu 21 wamepoteza maisha yao kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maeneo mbali mbali nchini.
• Jumla ya watu elfu hamsini,wameathirika kufikia sasa,huku zaidi ya waathiriwa elfu kumi na tatu wakiwa wa Kaskazini Mashariki.