Ada mpya za stakabadhi muhimu za serikali iwapo mahakama haitatupilia mbali

Mahakama Kuu imesitisha utekelezwaji wa ada mpya kwa stakabadhi za serikali ambazo zilichapishwa siku kadhaa zilizopita.

Muhtasari

•Notisi ya gazeti la serikali iliyochapishwa hivi majuzi na Waziri wa Mambo ya Ndani Kindiki Kithure ilidokeza kuongezeka kwa ada kwa stakabadhi kadhaa za serikali.

•Alhamisi, Mahakama ilitoa maagizo ya kusitisha utekelezwaji wa ada mpya kwa stakabadhi kadhaa za serikali ambazo zilitangazwa kwenye gazeti la serikali siku chache zilizopita.

Image: ROSA MUMANYI