Tazama matukio ya mzozo baina ya Avril na J Blessing

Avril na mzazi mwenzake, J Blessing wameamua kutengana kufuatia mgogoro uliotokea kati yao hivi majuzi.

Muhtasari

•Jumanne, Avril aliweka chapisho la kutia wasiwasi ambapo alionyesha uso wake wenye dalili za kupigwa na kudokeza kuwa mpenzi wake J Blessing alimvamia.

ya mzozo baina ya Avril na J Blessing.
Matukio ya mzozo baina ya Avril na J Blessing.
Image: WILLIAM WANYOIKE