Kaunti zilizoathirika zaidi na mvua za El Nino

Maeneo ya Kaskazini mwa bonde la ufa yanaendelea kuathurika zaidi na mvua za El Nino zinazoendlela kunyesha kote nchini.

Muhtasari

• Mafuriko hayo yamesababisha  uharibifu wa mali, vifo na watu kuyahama makazi yao

Image: HILLARY BETT

Barabara sasa zimesalia kutopitika huku mifugo na nyumba zikisombwa na kuwaacha watu bila makazi.