Wachezaji wa EPL waliofikisha mabao 50 kwa mechi chache zaidi

Erling Haaland alifunga bao lake la 50 katika mechi 48 wikendi iliyopita katika sare ya Manchester City dhidi ya Liverpool.

Muhtasari

• Wachezaji wengine waliofikisha mabao 50 kwa mechi chache ni pamoja na Thierry Henry, Kun Aguero, Aubameyang miongoni mwa wengine.

Wachezaji wa EPL.
Wachezaji wa EPL.