Liverpool yaongoza orodha ya vilabu vyenye mauzo mengi ya jezi kwa tangu 2022

Liverpool waliuza jezi nyingi zaidi ikiwa ni jezi milioni 1.8 ndani ya mwaka mmoja huku Chelsea wakikosekana ndani ya timu 8 zenye mauzo mengi ya jezi.

Muhtasari

• Licha ya kuwa na msururu mbaya wa matokeo katika kipindi cha miaka 10 iliyopita, Manchester United bado wameshikilia nafasi ya pili kwa mauzo ya jezi nyingi.

Vilabu vilivyouza jezi nyingi zaidi
Vilabu vilivyouza jezi nyingi zaidi
Image: WILLIAM WANYOIKE