Maelezo ambayo Nabii Kanyari alifichua kuhusu dadake Starlet Wahu baada ya kuuawa

Mwanasosholaiti Starlet Wahu alipatikana ameuawa siku ya Alhamisi katika mtaa wa South B.

Muhtasari

•Nabii Victor Kanyari alisema dadake hakuwa ameolewa na alikuwa akitafuta wa kuchumbiana naye alipouawa.

ambayo Kanyari alifichua kuhusu dada yake baada ya kuuawa.
Maelezo ambayo Kanyari alifichua kuhusu dada yake baada ya kuuawa.
Image: HILLARY BETT