Grafiki: Vifo tatanishi katika wiki mbili za kwanza za 2024

Zaidi ya watu 8 wamekufa katika hali ya kutisha na kushangaza katika wiki mbili zilizopita.

Muhtasari

•Mwanamke mwenye umri wa miaka 24 aliuawa katika AirBnB ya Roysambu na mwili wake ukawekwa kwenye mfuko wa karatasi.


tatanishi katika wiki mbili za kwanza za 2024.
Vifo tatanishi katika wiki mbili za kwanza za 2024.
Image: WILLIAM WANYOIKE