Grafiki: Mfahamu kwa undani mpenzi mpya wa Harmonize

Konde Boy na mpenzi wake wa sasa walijaribu kuchumbiana katika siku za nyuma lakini uhusiano wao haukufaulu.

Muhtasari

•Mwanasosholaiti Poshy Queen ni mama wa mtoto mmoja na hapo awali aliwahi kuchumbiwa na Mnigeria, John mwaka 2020.

•Mpenzi mpya wa Harmonize ni mpenzi wa zamani wa aliyekuwa mcheza santuri wa mwimbaji huyo, DJ Seven.

mpenzi mpya wa Harmonize.
Mfahamu mpenzi mpya wa Harmonize.
Image: WILLIAM WANYOIKE