Unachohitaji kujiunga na Chuo cha huduma kwa vijana (NYS)

Zoezi la usajili litafanywa kati ya Februari 5 hadi Februari 9, 2024 katika kaunti zote nchini.

Muhtasari

• Unahitaji kuwa raia wa Kenya, kitamblisho cha kitaifa pamoja na stakabadhi zako za masomo.

Image: HILLARY BET