Kevin De Bruyne ampiku Wayne Rooney kwa kuchangia mabao mengi ligini EPL

De Bruyne sasa yuko mbioni kuelekea kileleni ambacho anahitaji kutoa asisti 58 pekee ili kumpiku mchezaji wa zamani wa Man U, Ryan Giggs kama mfalme wa asisti wa muda wote ligini EPL.

Muhtasari

• De Bruyne alichangia bao katika ushindi wao dhidi ya Burnley usiku wa kuamkia Februari mosi na hivyo kumpiku mkongwe wa Man U, Wayne Rooney.

WANASOKA WENYE UCHANGIAJI MABAO MINGI
WANASOKA WENYE UCHANGIAJI MABAO MINGI
Image: WILLIAM WANYOIKE