Tazama nchi zinazoongoza duniani kwa matumizi ya mitandao ya kijamii

Kenya, Afrika Kusini na Brazil zinaongoza kote duniani katika matumizi ya mitandao ya kijamii .

Muhtasari

•Kenya ndiyo nchi inayoongoza duniani kwa matumizi ya mitandao ya kijamii ikiwa na wastani wa saa 3 na dakika 43.

zinazoongoza kwa matumizi ya mitandao ya kijamii.
Nchi zinazoongoza kwa matumizi ya mitandao ya kijamii.
Image: WILLIAM WANYOIKE