Masharti mapya kuhusu ulipaji karo kwenye shule za umma

Katibu wa kudumua wa Elimu Belio Kipsanga alisema kuwa hakuna ada inayofaa kutozwa katika shule za msingi na JSS na kutwa.

Muhtasari

• Barua wa wadau wa elimu ilisema kwamba shule hazipaswi kuuza au kuhifadhi sare na vitu vya bweni.

• Shule zote za sekondari lazima zifuate muongozo wa karo.

• Wakurugenzi wa elimu kuhakikisha miongozo inafuatwa.

Image: William Wanyoike