Tazama matakwa ya Mulamwah kwa ex wake Carrol Sonie

Mchekeshaji David Oyando almaarufu Mulamwah ametishia kumshtaki Carrol Sonie iwapo hatatimiza matakwa yake.

Muhtasari

•Mulamwah amemtaka Sonie kuomba msamaha hadharani, kufuta picha za binti yao kwenye YouTube, kumpa nakala ya cheti cha mtoto miongoni mwa matakwa mengine.

ya Mulamwah kwa ex wake Carrol Sonie
Matakwa ya Mulamwah kwa ex wake Carrol Sonie
Image: ROSA MUMANYI