Wafahamu washindi katika vipengele mbalimbali kwenye Afcon 2023

Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zilichezwa usiku wa Februari 11, 2024.

Muhtasari

•Nahodha wa Equatorial Guinea Emilio Nsue aliibuka mfungaji bora huku William Troost-Ekong akichaguliwa kama mchezaji bora wa Afcon 2023.

katika mashindano ya Afcon 2023
Washindi katika mashindano ya Afcon 2023
Image: WILLIAM WANYOIKE