logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Matukio ya kukamatwa tena kwa Kevin Kang’ethe mshukiwa wa mauaji nchini Amerika

Siku ya Jumatatu Kevin alikuwa amepigia watu wengi simu kabla ya kuizima.

image
na Davis Ojiambo

Habari14 February 2024 - 13:07

Muhtasari


  • • Jumanne usiku Alifika kwa binamuye eneo la Embulbul Ngong ambapo polisi walidokezewa kumhusu.    
  • •  Polisi walifika na kumpata akipiga gumzo na binamuye huku akiwa tayari amekula chakula cha jioni.
  • • Wakati wa kukamatwa kwake hakusumbua kuwekwa pingu na hata kulala chini vile aliagizwa.

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved