Wasanii wa Kenya wanaowania tuzo za EAEA 2024

Nadia Mukami na mumewe Arrow Bwoy watakuwa wanawania kitengo cha albamu bora ya mwaka kupitia alabamu yao ya Love and Vibes.

Muhtasari

• Jua Cali pia atawania kitengo cha albamu bora ya mwaka na albamu yake ya Utu Uzima.

Wasanii wa Kenya wanaowania tuzo za EAEA mwaka huu
Wasanii wa Kenya wanaowania tuzo za EAEA mwaka huu
Image: ROSA MUMANYI