Muhtasari
•Maribe ambaye ana shahada ya Uandishi wa Habari kutoka UON alianza taaluma yake katika runinga ya K24 mwaka wa 2009.
•Aliteuliwa kuwa mkuu wa mawasiliano katika wizara ya utumishi wa umma siku ya Jumapili baada ya kuondolewa mashtaka ya mauaji.