Unachofaa kujua kuhusu Haiti

Hali ya nchi ilizorota zaidi kiusalama tangu kuawa kwa rais wa nchi hiyo Jovenel Moise mwaka 2021.

Muhtasari

• Kenya inafaa kutuma polisi kudumisha usalama nchini humo huku magenge yakiteka sehemu kubwa ya nchi hiyo. 

Image: ROSA MUMANYI