Timu ambazo zimefuzu kwa robo za ligi ya mabingwa ulaya (UCL)

Droo ya dimba hilo itafanyika Ijumaa 15/4/2024, huku fainali ikiratibiwa kuchezewa uwanjani Wembley Uingereza.

Muhtasari

• Uingereza na Ujerumani zina timu mbili, Arsenal na Manchester City za Uingereza na Bayern Munich na Borussia Dortmund za Ujerumani.

Image: ROSA MUMANYI