Tazama athari za ajali ya basi la Chuo Kikuu cha Kenyatta

Taasisi hiyo imesimamisha masomo ili kuomboleza wanafunzi waliofariki.

Muhtasari

•Jumla ya wanafunzi 11 wamefariki kufuatia ajali hiyo iliyotokea Jumatatu usiku huku wengine 11 wakiachwa na majeraha mabaya.

za ajali ya basi la Chuo Kikuu cha Kenyatta.
Athari za ajali ya basi la Chuo Kikuu cha Kenyatta.
Image: WILLIAM WANYOIKE