Wanasoka wa zamani wa Brazil waliohukumiwa kifungo jela

Mchezaji wa zamani wa Manchester City, Robinho alikamatwa wiki jana na kuanza kuhudumiwa kifungo chake cha miaka 9 jela, zaidi ya miaka 10 baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji.