Tazama Wakenya waliotambuliwa na kutuzwa baada ya kifo

Hivi majuzi, marehemu Charles Ouda aliyeaga Februari mwaka huu alishinda tuzo ya Kalasha ya muigizaji bora wa kiume.

Muhtasari

•Kelvin Kiptum, Charles Ouda, Janet Kanini na Sean Cardovillis ni baadhi tu ya Wakenya mashuhuri waliotuzwa baada ya kuaga.

Image: ROSA MUMANYI