Waigizaji wa filamu Nigeria ambao wamefariki tangu mwaka wa 2024 uanze

Katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita, Nollywood imeondokewa na waigizaji nguli akiwemo Mr Ibu, Junior Pope na wengine mashuhuri.

Muhtasari

• Junior Pope ndiye wa hivi karibuni kufariki kufuatia kufa maji alipokuwa akiandaa filamu moja.

Waigizaji wa Nollywood waliofariki hadi sasa
Waigizaji wa Nollywood waliofariki hadi sasa