Wafahamu Wakenya mashuhuri waliofariki kwenye ajali za ndege katika miongo miwili iliyopita

Jenerali Francis Ogolla ndiye mtu mashuhuri wa hivi punde kufariki katika ajali ya ndege nchini Kenya.

Muhtasari

•Wanajeshi 10 wakuu, akiwemo Kamanda wa Majeshi  Jenerali Francis Ogolla walifariki katika ajali ya ndege mnamo Aprili 18, 2024.

mashuhuri waliofariki katika ajali za ndege
Wakenya mashuhuri waliofariki katika ajali za ndege
Image: WILLIAM WANYOIKE
mashuhuri waliofariki katika ajali za ndege
Wakenya mashuhuri waliofariki katika ajali za ndege
Image: WILLIAM WANYOIKE