Wanariadha wa Kenya wanaowania nafasi za kushiriki mashindano ya Paris Olympics

Hii ni baada ya wengi wao kufana katika mashindano ya Absa Kip Keino Classic yaliyofanyika wikendi iliyopita ugani Nyayo.