CASs kupokea jumla ya mshahara wa Ksh 780K kila mwezi baada ya kuingia ofisini

Kando na mshahara huo wa kila mwezi CASs pia watapokea mkopo wa gari wa shilingi milioni 8 na rehani kwa shilingi milioni 35.

Muhtasari

Pendekezo hili la CAS kwa hazina ya fedha inamaanisha kwamba watakuwa wanapokea jumla ya mshahara mkubwa kuwazidi wabunge.

Marupurupu ya CASs
Marupurupu ya CASs
Image: HILLARY BETT