Kazi ambazo Gen Z wa Kenya wanapendelea kufanya

Vijana wa kizazi cha Gen Z wengi wangependa vyombo vya habari kuangazia zaidi habari na taarifa za kuwafunza jinsi ya kutengeneza pesa mitandaoni.