Sacco za matatu za maeneo mbalimbali Nairobi zilizopokonywa leseni za kuhudumu

NTSA iliwataka abiria kutoabiri magari ya sacco hizo huku pia ikiomba polisi wa trafiki kufanya kazi yao kwa kuyashikilia magari hayo iwapo yatakiuka agizo la kupokonywa leseni za kuhudumu.

Muhtasari

• NTSA iliwataka abiria kutoabiri magari ya sacco hizo huku pia ikiomba polisi wa trafiki kufanya kazi yao kwa kuyashikilia magari hayo iwapo yatakiuka agizo la kupokonywa leseni za kuhudumu.

• Welkan 48 Travellers inayohudumu kutoka Kawangware, Lavington kuelekea Westlands ni moja ya sacco NTSA ilitangaza kubatilisha leseni yao ya kuhudumu.

SACCO ZA MATATU ZILIZOFUTILIWA MBALI
SACCO ZA MATATU ZILIZOFUTILIWA MBALI
Image: WILLIAM WANYOIKE

1. Taratibu Travels Ltd (Nairobi, Kisumu, Busia)

2. Salty Supporters Investments Ltd (Ronald Ngala, Allsops, Thika Road, Utawala, Kangundo)

3. Safeline Matatu Sacco Ltd (Railways, Dagoretti, Kikuyu)

4. Eleventh Hour Transport Sacco (Railways, Mbagathi, Lang’ata, Kiserian)

5. Indo Star Sacco – Muthurwa, Imara, Jogoo Rd, Mlolongo)

6. Telaviv Travellers Ltd (South B;C, Eastleigh, Gikomba, Fedha)

7. Welkan 48 Travellers Sacco (Westlands, Lavington, Kawangware)

8. Mwirona Sacco (CBD, Kasarani, Mwiki)

9. Manama Travellers Ltd (CBD, mathare, Gikomba, Kangundo)

10. Runka services Cooperatives (Odeon, Pangani, Limuru, Karura, Wangige)