Maradhi yanayoambukizwa na kuenea kwa kasi zaidi nyakati za mvua

Maradhi haya aghalabu huenea kutokana na hali ya hewa ya joto na unyevunyevu, maji yaliyotuama, ambayo hutengeneza mahali pazuri pa kuzaliana kwa mbu na wadudu wengine wanaoeneza magonjwa

Muhtasari

• Kuongezeka kwa mafuriko, ambayo yanaweza kuchafua usambazaji wa maji; na hali duni ya usafi wa mazingira ambayo mara nyingi huambatana na mvua kubwa, husababisha magonjwa haya.

Maradhi yanayoenea kwa kasi nyakati za mvua
Maradhi yanayoenea kwa kasi nyakati za mvua
Image: WILLIAM WANYOIKE