Mambo yaliyoamuliwa tayari kabla ya wiki ya mwisho ya EPL

Sasa ni rasmi kwamba mshindi wa ligi kuu ya premia msimuu huu atakuwa kati ya Arsenal au Manchester City baada ya hesabu kuifungia nje rasmi Liverpool hata kabla ya mchuano wao wa leo dhidi ya Aston Villa.

Muhtasari

• Klabu ya Liverpool hata kabla ya mchuano wao wa leo usiku dhidi ya Aston Vill,a tayari wamejihakikishia kumaliza katika nafasi ya 3.

Mambo yaliyoamuliwa kabla ya wiki ya mwisho ya EPL
Mambo yaliyoamuliwa kabla ya wiki ya mwisho ya EPL
Image: WILLIAM WANYOIKE