Njia za kulinda afya yako wakati wa mvua na baridi

Ili kuweka afya yako katika hali salama, hakikisha unaepuka vyakula baridi sana na pia vile vinavyochuuzwa mitaani lakini pia kuchukua chanjo dhidi ya malaria na mafua.

Muhtasari

• Pia punguza bidhaa za maziwa na zile zinazopikwa kwa kutumia mafuta na viungo vingi.

Njia za kulinda afya wakati wa mvua
Njia za kulinda afya wakati wa mvua
Image: ROSA MUMANYI