Tazama maeneo yaliyo katika hatari kubwa kukumbwa na maporomoko ya ardhi

Maporomoko yameripotiwa katika maeneo kadhaa nchini Kenya tangu mvua ilipoanza kunyesha.

Muhtasari

•Penye miteremko ya kina cha juu, penye kina masi na palipochimbwa kwa ajili ya ujenzi ni baadhi tu ya maeneo yaliyo katika hatari kubwa.

yaliyo katika hatari kubwa kukumbwa na maporomoko ya ardhi.
Maeneo yaliyo katika hatari kubwa kukumbwa na maporomoko ya ardhi.
Image: ROSA MUMANYI