Tanzania hivi majuzi walizindua treni ya SGR kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro yenye uwezo wa kwenda kwa kasi ya 160 Km/hr, ikiipiku SGR ya Kenya yenye kasi ya 120 Km/hr.
Muhtasari
• Red Line ya Nigeria inaongoza kwa kasi zaidi barani Afrika, ikienda kwa kasi ya 330 Km/hr.