Wafahamu viongozi wa nchi waliofariki katika ajali za Helikopta

Rais Ebrahim Raisi wa Iran alifariki katika ajali ya helikopta iliyotokea Mei 19, 2024.

Muhtasari

•Baadhi ya viongozi wa mataifa mbalimbali duniani wamepoteza maisha kufuatia ajali za ndege zilizotokea katika miaka iliyopita.

waliofariki katika ajali za Helikopta.
Marais/Mawaziri Wakuu waliofariki katika ajali za Helikopta.
Image: HILLARY BETT