Arne Slot: Mfahamu kocha mpya wa Liverpool ambaye amerithi nafasi ya Jurgen Klopp

Arne Slot sasa atakuwa kocha wa nahodha Virgil Van Dijk ambaye aliwahi cheza dhidi yake wakati anatumikia klabu ya Grongen miaka kadhaa nyuma.

Muhtasari

• Slot amekuwa mkufunzi wa Feyenoord ambao aliwasaidia kufika kwenye fainali ya Europa Conference miaka miwili iliyopita na kupoteza dhidi ya Roma.

• Mwaka jana, aliisaidia Feyenoord kushinda taji la Erdivise la ligi kuu ya Uholanzi.

Mfahamu kocha mpya wa Liverpool
Mfahamu kocha mpya wa Liverpool
Image: WILLIAM WANYOIKE