Tazama vilabu bora Ulaya vitakavyokuwa na meneja mpya msimu ujao

Bodi ya Manchester United kwa sasa inajadili kuhusu mipango ya msimu ujao.

Muhtasari

•Liverpool, West Ham na Barcelona tayari wametangaza makocha wapya ambao watachukua mikoba msimu ujao.