Tazama wanasiasa wa Kenya waliopanda ngazi kutoka MCA, kupata nyadhifa za juu

Siku ya Jumatano, Mbunge Oscar Sudi alimkejeli Cleophas Malala kwa kupandishwa cheo kutoka MCA hadi Katibu Mkuu wa UDA.

Muhtasari

•Baadhi ya viongozi wakuu wa sasa nchini Kenya wakiwemo magavana na maseneta walianza kama Wawakilishi wa Wadi (MCA).

Viongozi waliopanda vyeo kutoka kuwa MCAs
Viongozi waliopanda vyeo kutoka kuwa MCAs
Viongozi waliopanda vyeo kutoka kuwa MCAs
Viongozi waliopanda vyeo kutoka kuwa MCAs