Wachezaji tajika ambao wamestaafu soka majuzi [Oktoba 2023-2024]

Edinson Cavani ni mchezaji wa hivi punde kutangaza kustaafu kutoka kwa soka la kimaitafa

Muhtasari

•Edinson Cavani ameifungia nchi yake ya Uruguay mabao 58 kwa mechi 136

Wachezaji tajika ambao wamestaafu soka majuzi
Image: Image: WILLIAM WANYOIKE