Fahamu mambo usiyoyajua kuhusu marehemu Jahmby Koikai

MC huyo wa reggea alifariki Jumatatu usiku baada ya kupambana na ugonjwa wa endometriosis kwa muda mrefu.

Muhtasari

•Marehemu Jahmby Koikai alipambana na ugonjwa wa Endometriosis kutoka akiwa na miaka 13
na alifanyiwa upasuaji mara 21.

•Marehemu Jahmby Koikai alifariki akiwa na umri wa miaka 38.