Euro 2024: Tazama wachezaji wa asili ya Afrika ambao watawakilisha mataifa ya Ulaya

Dimba la Euro litachezwa nchini Ujerumani kuanzia Juni 14 hadi Julai 14.

Muhtasari

•Baadhi ya wachezaji mahiri ambao watashiriki kwenye Dimba la Euro 2024 wamezaliwa na wazazi kutoka Afrika.

wa asili ya Afrika watakaowakilisha mataifa ya Ulaya.
Wachezaji wa asili ya Afrika watakaowakilisha mataifa ya Ulaya.
Image: WILLIAM WANYOIKE