Fahamu umri ambao baadhi ya Wakenya mashuhuri walitengeneza milioni yao ya kwanza

Baadhi ya mastaa wa Kenya wakiwemo Vera Sidika, KRG, Omanga na Azziad walipata milioni ya kwanza hata kabla ya kufikisha miaka 20.

Muhtasari

•Baadhi ya Wakenya mashuhuri wakiwemo wasanii na wanasiasa walitengeneza milioni ya kwanza wakiwa vijana wadogo.

baadhi ya Wakenya mashuhuri walitengeneza milioni ya kwanza.
Umri baadhi ya Wakenya mashuhuri walitengeneza milioni ya kwanza.
Image: WILLIAM WANYOIKE