Mfahamu marehemu Fred Omondi

Omondi alipata umaarufu kupitia Churchill Show kipindi hicho ikipeperushwa kwenye runinga ya NTV kabla ya kupata shoo yake mwenyewe ya uchekeshaji kwenye runinga ya KTN.