Muswada wa Fedha 2024: Mapendekezo ya ushuru ambayo yametupiliwa mbali

VAT kwa mkate na usafirishaji wa sukari ni miongoni wa mapendekezo yaliyoondolewa.

Muhtasari

ā€¢Mkutano wa Kikundi cha Wabunge wa Kenya Kwanza ulifanyika Juni 18, 2024 ambapo maamuzi yalitolewa kuondoa mapendekezo.

makuu ya ushuru ambayo yametupiliwa mbali.
Mapendekezo makuu ya ushuru ambayo yametupiliwa mbali.
Image: WILLIAM WANYOIKE