Mambo muhimu kuhsu ligi ya soka ya Kenya baada ya msimu kukamilika

Gor Mahia waliweka rekodi kwa kushinda taji lao ya 21 katika ligi ya Kenya huku pia malimbukeni Shabana wakijisatiti na kusalia kwenye ligi baada ya kurejea mwaka jana na kumaliza kiu yake ya miaka 17 nje ya ligi kuu.