Fahamu jinsi ya kupata Play Buttons mbalimbali kwa chaneli yako ya YouTube

Kitufe cha chini kabisa ni cha fedha ambacho hutolewa kwa chaneli zenye wafuasi 100k huku chaneli zenye wafuasi 100m wakituzwa kitufe cha Almasi nyekundu.

Muhtasari

• Chaneli sharti iwe na wafuasi 100k ili kutambuliwa, kuthibitishwa na kutuzwa kitufe.

Jinsi ya kupata play button ya YouTube
Jinsi ya kupata play button ya YouTube