Tazama mapendekezo ya nyongeza ya mishahara kwa nyadhifa mbalimbali

SRC imependekeza nyongeza ya mishahara kwa maafisa mbalimbali wa serikali kuanzia Julai 1, 2024.

Muhtasari

•Miongoni mwa ambao wameratibiwa kunufaika na nyongeza ya mishahara ni wabunge, maseneta, magavana, maspika na MCAs.

ya nyongeza ya mishahara kwa nyadhifa mbalimbali.
Mapendekezo ya nyongeza ya mishahara kwa nyadhifa mbalimbali.
Image: HILLARY BETT